BALOZI FREDRICK IBRAHIM KIBUTA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO, NCHINI RUSSIA
Balozi wa Tanzania nchini Russia, Mhe. Fredrick Ibrahim Kibuta amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Urusi anayeshughulikia masuala ya Bara la Afrika, Mhe. Bogdanov…
Read More