News and Events Change View → Listing

Ubalozi wa Tanzania Moscow uliadhimisha siku ya lugha ya kiswahili duniani tarehe 7 Julai 2022

Ubalozi wa Tanzania Moscow uliadhimisha siku ya lugha ya kiswahili duniani tarehe 7 Julai 2022. Maadhimisho hayo yalihudhuriwa na Waheshimiwa Mabalozi wa EAC, Chama cha Kiswahili Moscow (CHAKIMO), Diaspora na…

Read More

Mhe. Balozi Fredrick I. Kibuta akutana na uongozi wa juu wa Baraza la Biashara na Viwanda la Jimbo la Kursk

Mnamo tarehe 24 Juni 2022 Mhe. Balozi Fredrick I. Kibuta alikutana na uongozi wa juu wa Baraza la Biashara na Viwanda la Jimbo la Kursk (Kursk Chamber of Commerce and Industry) akiwa katika ziara ya kikazi ya…

Read More

Balozi Kibuta amekutana na viongozi wa Chama cha Kiswahili Moscow

Balozi Kibuta amekutana na viongozi wa Chama cha Kiswahili Moscow ambao pia ni waalimu wa Lugha ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Serikali cha Moscow ( Moscow State University) na Chuo Kikuu cha Mahusiano ya…

Read More

SERIKALI YA RUSSIA KUONGEZA FURSA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI RAIA WA TANZANIA

Balozi wa Russia nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetsyan, amekutana kwa mazungumzo na Mhe. Fredrick I Kibuta, Balozi wa Tanzania nchini Russia. Mazumgumzo hayo yamefanyika leo tarehe 12 Aprili 2022 katika ofisi…

Read More

MAHUSIANO KATI YA TANZANIA NA SHIRIKISHO LA URUSI KUIMARIKA KUPITIA SEKTA YA UTALII

Tanzania inatarajiwa kupokea watalii wengi zaidi siku za hivi karibuni kutoka nchini Russia. Tathmini hii imetokana  na mazungumzo yaliyofanyika mnamo tarehe 31 Machi 2022 kati ya Mhe. Balozi Fredrick I.…

Read More

UTAMBULISHO WA MHE BALOZI FREDRICK I. KIBUTA, KWA JUMUIYA YA DIASPORA WA TANZANIA NCHINI RUSSIA

Mhe. Balozi Fredrick I Kibuta, Balozi wa Tanzania nchini Russia amekutana na Wanachama wa Jumuiya ya Diaspora raia wa Tanzania nchini Russia mnamo tarehe 26 Machi 2022 katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania…

Read More

MHE. BALOZI FREDRICK I. KIBUTA AKUTANA NA WAWAKILISHI WA TAASISI YA BUSINESS RUSSIA YA SHIRIKISHO LA URUSI

MHE. BALOZI FREDRICK I. KIBUTA AKUTANA NA WAWAKILISHI WA TAASISI YA BUSINESS RUSSIA YA SHIRIKISHO LA URUSIMnamo tarehe 23 Machi 2022 Mhe. Balozi Fredrick I. Kibuta pamoja na Maafisa wa Ubalozi walikutana na…

Read More