Recent News and Updates
Ubalozi wa Tanzania Moscow uliadhimisha siku ya lugha ya kiswahili duniani tarehe 7 Julai 2022
Ubalozi wa Tanzania Moscow uliadhimisha siku ya lugha ya kiswahili duniani tarehe 7 Julai 2022. Maadhimisho hayo yalihudhuriwa na Waheshimiwa Mabalozi wa EAC, Chama cha Kiswahili Moscow (CHAKIMO), Diaspora na Wanafunzi wa Elimu… Read More
Mhe. Balozi Fredrick I. Kibuta akutana na uongozi wa juu wa Baraza la Biashara na Viwanda la Jimbo la Kursk
Mnamo tarehe 24 Juni 2022 Mhe. Balozi Fredrick I. Kibuta alikutana na uongozi wa juu wa Baraza la Biashara na Viwanda la Jimbo la Kursk (Kursk Chamber of Commerce and Industry) akiwa katika ziara ya kikazi ya siku tatu katika… Read More