News and Resources Change View → Listing

Maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar pamoja na kuenzi siku ya Kiswahili Duniani Tarehe 26 Aprili 2025

Ubalozi wa Tanzania Moscow waadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Ukumbi wa GLAV UPDK CULTURE CENTER, Moscow Urusi ambayo yalienda sambamba na kuienzi lugha ya Kiswahili.  Mgeni…

Read More

Mkutano wa Pili wa Tume ya pamoja ya ushirikiano wa Biashara na Uchumi kati ya Tanzania na Urusi Mjini St. Petersburg Urusi Tarehe 12-13 Mei 2025

Tarehe 12 -13 Mei, 2025 Wizara kupitia Ubalozi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ilishiriki katika Mkutano wa Pili wa  Tume ya pamoja ya ushirikiano wa Biashara na Uchumi kati ya…

Read More

Ziara ya Mhe.Balozi wa Tanzania katika Jiji la St. Petersburg na Mkoa wa Leningrad, Februari 2025: Kuimarisha Mahusiano ya Tanzania na Urusi.

Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Frederick Ibrahim Kibuta, alifanya ziara rasmi kati ya tarehe 24-28 Februari 2025 katika Jiji la St. Petersburg na Mkoa wa Leningrad kwa lengo la kuimarisha…

Read More

Ubalozi wa Tanzania Moscow uliadhimisha siku ya lugha ya kiswahili duniani tarehe 7 Julai 2022

Ubalozi wa Tanzania Moscow uliadhimisha siku ya lugha ya kiswahili duniani tarehe 7 Julai 2022. Maadhimisho hayo yalihudhuriwa na Waheshimiwa Mabalozi wa EAC, Chama cha Kiswahili Moscow (CHAKIMO), Diaspora na…

Read More

Mhe. Balozi Fredrick I. Kibuta akutana na uongozi wa juu wa Baraza la Biashara na Viwanda la Jimbo la Kursk

Mnamo tarehe 24 Juni 2022 Mhe. Balozi Fredrick I. Kibuta alikutana na uongozi wa juu wa Baraza la Biashara na Viwanda la Jimbo la Kursk (Kursk Chamber of Commerce and Industry) akiwa katika ziara ya kikazi ya…

Read More

Balozi Kibuta amekutana na viongozi wa Chama cha Kiswahili Moscow

Balozi Kibuta amekutana na viongozi wa Chama cha Kiswahili Moscow ambao pia ni waalimu wa Lugha ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Serikali cha Moscow ( Moscow State University) na Chuo Kikuu cha Mahusiano ya…

Read More

SERIKALI YA RUSSIA KUONGEZA FURSA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI RAIA WA TANZANIA

Balozi wa Russia nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetsyan, amekutana kwa mazungumzo na Mhe. Fredrick I Kibuta, Balozi wa Tanzania nchini Russia. Mazumgumzo hayo yamefanyika leo tarehe 12 Aprili 2022 katika ofisi…

Read More