News and Events Change View → Listing

Mhe. Balozi Mej Jen (Mst.) Simon M. Mumwi na wana Diaspora wa Moscow na nchi za CIS (TADRU-CIS)

Mhe. Balozi Mej Jen (Mst.) Simon M. Mumwi na wana Diaspora wa Moscow na nchi za CIS (TADRU-CIS)

Read More

MAADHIMISHO YA MIAKA 27 YA SADC MOSCOW

Ubalozi ukishirikiana na Balozi nyingine wanachama wa Umoja wa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) zilizopo jijini Moscow ulisherehekea miaka 27 ya kuanzishwa kwa Umoja huo. Sherehe hiyo…

Read More

Ubalozi kushiriki katika siku ya Utamaduni iliyofanyika kwenye Chuo cha Ufundi Moscow (Politech)

Tarehe 22 Mei 2019 kwa kushirikiana na Wanafunzi wanaosoma jijini Moscow,  Ubalozi ulishiriki kwenye siku ya Utamaduni iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Ufundi "Moscow Politech". Katika…

Read More

Online VISA Application (e-VISA)

This is to inform all Visa applicants and the general public that the United Republic of Tanzania has launched Online Visa Application System effective since 10th Jan, 2019.For those who wish to travel to…

Read More

NOTICE TO TRAVELERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

The Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1 June 2019 all plastic bags, regardless of their thickness will be prohibited from being imported,…

Read More

Maadhimisho ya Miaka 55 ya Muungano - Moscow, Urusi

Ubalozi uliamua kuadhimisha Miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutangaza bidhaa na vivutio vya Utalii vya Tanzania; Kukabidhi vyeti kwa Wadau mbali mbali kuonesha kutambua mchango wao…

Read More

Uzinduzi wa Kampuni ya “Coral Travel” kuanza kufanya safari Tanzania

Ubalozi wa Tanzania kwa Kushirikiana na Kampuni ya "Coral Travel" uliandaa hafla ya uzinduzi wa Safari za "Coral Travel" nchini Tanzania tarehe 21 Februari 2019. Kufuatia uzinduzi huo Kampuni ya "Coral Travel"…

Read More

Maonesho ya 26 ya Kimataifa ya Utalii (MITT 26) yafana Moscow

Maonesho ya 26 ya Kimataifa ya Utalii (MITT 26) yalifanyika Moscow kuanzia tarehe 12 hadi 14 Machi 2019. Maonesho hayo yalihudhuriwa na  washiriki mbali mbali kutoka Tanzania ambao ni TTB, TANAPA, NCAA na…

Read More